4°28'جنوب / 35°31'شرق / الإرتفاع 1579 m / 01:24 24/03/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
من: 24/03/2026, 21:01
ل: 25/03/2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es salaam, Pwani ( ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Zingatia na jiandae.