• تسجيل الدخول
  • Premium
  • myVentusky
  • حول الموقع الإلكتروني
  • تحريك الرياح
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    تحذيرات - Murkuchida

    العالم / تنزانيا / Manyara Region / Murkuchida

    4°4'جنوب / 35°6'شرق / الإرتفاع 1845 m / 01:36 24/03/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    أخرى

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    من: 24/03/2026, 21:01
    ل: 25/03/2026, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es salaam, Pwani ( ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

    UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI

    Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.

    Zingatia na jiandae.

    • mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es salaam, Pwani ( ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 23/03/2026, 17:36