• Inicieu sessió
  • Premium
  • myVentusky
  • Previsió
  • Animació del vent
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    Two New High-Resolution Weather Models on Ventusky Model

    Avisos - Muheza

    Món / Tanzània / Tanga Region / Muheza

    5°10'S / 38°47'E / Altitud 203 m / 19:37 26/10/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    altre

    ANGALIZO: UPEPO MKALI

    del: 25/10/2026, 21:00
    a: 26/10/2026, 20:59

    ANGALIZO la Upepo Mkali Unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini mwa bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: MDOGO KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KIKUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.

    • maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 24/10/2026, 18:34