• Log ind
  • Premium
  • myVentusky
  • Om
  • Vindanimation
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    Varsler - Bwagamoyo

    Verden / Tanzania / Manyara Region / Bwagamoyo

    5°18'S / 36°34'Ø / Højde 1536 m / 17:59 14.03.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    andet

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    fra: 13.03.2026, 21:01
    til: 14.03.2026, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.

    • mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 13.03.2026, 15:48