4°4'S / 32°25'Ø / Højde 1231 m / 06:30 29.04.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
fra: 27.04.2026, 21:00
til: 29.04.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Geita, Kagera, Arusha, Kilimanjaro na Manyara. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.