5°7'S / 36°37'Ø / Højde 1213 m / 14:40 14.03.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
fra: 13.03.2026, 21:01
til: 14.03.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.