• Anmelden
  • Premium
  • myVentusky
  • Vorhersage
  • Windanimation
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New Custom Color Scales in Ventusky Scale

    Warnungen - Korogwe

    Welt / Tansania / Tanga Region / Korogwe

    5°9' S / 38°27' O / Höhe 308 m / 23:19 12.09.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    sonstiges

    ANGALIZO: MAWIMBI MAKUBWA

    Seit: 15.09.2026, 21:00
    Zu: 16.09.2026, 20:59

    ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.

    • maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 12.09.2026, 14:49