7°10' S / 37°19' O / Höhe 612 m / 19:18 15.03.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
Seit: 14.03.2026, 21:01
Zu: 15.03.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Ruvuma, Morogoro, Lindi, Mtwara, Mbeya, Iringa, Njombe, Dodoma na Singida. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.