• Iniciar sesión
  • Premium
  • myVentusky
  • Sobre web
  • Animación del viento
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    Alertas - Bonye

    Mundo / Tanzania / Morogoro Region / Bonye

    7°23'S / 37°47'E / Altitud 163 m / 22:39 18/03/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    otro

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    de: 18/03/2026, 21:01
    a: 19/03/2026, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es salaam, kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani (Ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

    UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI

    Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.

    Zingatia na jiandae.

    • mikoa ya mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es salaam, kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani (Ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 18/03/2026, 17:16