8°55'S / 36°7'E / Altitud 288 m / 22:39 18/03/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
de: 18/03/2026, 21:01
a: 19/03/2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es salaam, kusini mwa Mkoa wa Morogoro na Pwani (Ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Zingatia na jiandae.