4°29'E / 35°30'I / Korkeus 1612 m / 14:14 25.03.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
Alkaen: 24.03.2026, 21:01
To: 25.03.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es salaam, Pwani ( ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.