3°3'E / 29°53'I / Korkeus 1595 m / 16:50 25.03.2026, Africa/Bujumbura (UTC+2)
Alkaen: 24.03.2026, 20:01
To: 25.03.2026, 19:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Rukwa, Kigoma, Katavi na Tabora. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.