4°15'S / 37°59'E / Altitudine 1383 m / 22:47 16/04/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
Da: 16/04/2026, 21:00
A: 17/04/2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha na Kilimanjaro. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.