3°59'南緯 / 35°34'東経 / 高度 1928 m / 01:16 2026/05/07, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
から: 2026/05/07, 21:00
に: 2026/05/08, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Morogoro, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
から: 2026/05/07, 21:00
に: 2026/05/08, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.