• 로그인
  • Premium
  • myVentusky
  • 예보
  • 풍향 에니메이션
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    Two New High-Resolution Weather Models on Ventusky Model

    경보 - Gwitiryo

    세계 / 탄자니아 / Mara Region / Gwitiryo

    1°16'남 / 34°29'동 / 고도 1646 m / 00:00 2026.11.12, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    기타

    TAHADHARI: MVUA KUBWA

    부터: 2026.11.12, 21:00
    에게: 2026.11.14, 20:59

    TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Rukwa, Mbeya, Songwe, Kigoma, Tabora na Katavi. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Chukua tahadhari.

    • ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara na Singida.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 2026.11.11, 19:06