2°45'남 / 31°27'동 / 고도 1311 m / 07:09 2026.04.26, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
부터: 2026.04.25, 21:00
에게: 2026.04.26, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Geita na Shinyanga. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.