• Logg inn
  • Premium
  • myVentusky
  • Prognose
  • Vindanimasjon
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    Væradvarsler - Ruangwa

    Verden / Tanzania / Lindi Region / Ruangwa

    10°4'S / 38°55'Ø / Høyde 334 m / 00:12 20.05.2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    annet

    ANGALIZO: UPEPO MKALI

    fra: 20.05.2026, 21:00
    til: 21.05.2026, 20:59

    ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa kusini mwa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara ). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.

    • mikoa ya Lindi na Mtwara
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 19.05.2026, 14:27