10°17'J / 40°10'I / Visina 42 m / 01:05 12.08.2026., Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
Od: 13.08.2026., 21:00
Do: 14.08.2026., 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Od: 13.08.2026., 21:00
Do: 14.08.2026., 20:59
ADVISORY of strong winds reaching 40km/hr is issued for some areas along the southern coast of Indian ocean (Lindi and Mtwara regions). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Disruption of some economic and marine activities. Be prepared.
Od: 13.08.2026., 21:00
Do: 14.08.2026., 20:59
ADVISORY of strong winds reaching 40km/hr is issued for some areas along the southern coast of Indian ocean (Lindi and Mtwara regions). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Disruption of some economic and marine activities. Be prepared.
Od: 14.08.2026., 21:00
Do: 15.08.2026., 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya Bahari ya Hindi(mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na pwani(ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Od: 14.08.2026., 21:00
Do: 15.08.2026., 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Disruption of some economic and marine activities. Be prepared.