7°57'J / 31°37'I / Visina 1857 m / 08:05 27.06.2026., Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
Od: 26.06.2026., 21:00
Do: 27.06.2026., 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa ziwa Rukwa (mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Od: 26.06.2026., 21:00
Do: 27.06.2026., 20:59
ADVISORY of strong winds reaching 40km/hrand large waves reaching 2m is issued for someareas along the lake Rukwa (Katavi, Rukwa and Songwe regions). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Disruption of some economic and marine activities. Be prepared.