• Inloggning
  • Premium
  • myVentusky
  • Om
  • Vindanimation
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    Varningar - Kisongwe

    Världen / Tanzania / Morogoro Region / Kisongwe

    6°38'S / 37°1'Ö / Höjd 713 m / 08:49 2026-03-15, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    annat

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    från: 2026-03-14, 21:01
    till: 2026-03-15, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Ruvuma, Morogoro, Lindi, Mtwara, Mbeya, Iringa, Njombe, Dodoma na Singida. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.

    • mikoa ya mikoa ya Ruvuma, Morogoro, Lindi, Mtwara, Mbeya, Iringa, Njombe, Dodoma na Singida.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 2026-03-14, 17:03