3°23'G / 37°40'D / Rakım 753 m / 19:47 29.04.2026, Africa/Nairobi (UTC+3)
saatinden: 29.04.2026, 12:00
ile: 29.04.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.