3°37'пд. ш. / 39°51'с. д. / Висота 29 m / 08:57 08.03.2026, Africa/Nairobi (UTC+3)
з: 07.03.2026, 21:01
до: 08.03.2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.