2°24'nam / 30°45'đông / Cao độ 1398 m / 19:38 01/05/2026, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
From: 30/04/2026, 21:00
To: 01/05/2026, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.