3°8'南 / 37°36'東 / 高度 1523 m / 14:39 2026-03-21, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
開始于: 2026-03-20, 21:01
到: 2026-03-21, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi, Mtwara na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vyaUnguja na Pemba.
UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI
Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.
Zingatia na jiandae.