• 登录
  • Premium
  • myVentusky
  • 预报
  • 动态风
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    警告 - Butinzya

    世界 / 坦桑尼亚 / Geita Region / Butinzya

    3°19'南 / 31°53'东 / 高度 1275 m / 22:24 2026-05-01, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    其他

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    开始于: 2026-05-01, 21:00
    到: 2026-05-02, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.

    • Mikoa ya ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 2026-05-01, 17:54