• 登录
  • Premium
  • myVentusky
  • 预报
  • 动态风
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    Ventusky introduces global fire monitoring Fire

    警告 - Mingoyo

    世界 / 坦桑尼亚 / Lindi Region / Mingoyo

    10°5'南 / 39°37'东 / 高度 44 m / 02:13 2026-06-16, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)

    其他

    ANGALIZO: UPEPO MKALI

    开始于: 2026-06-15, 21:00
    到: 2026-06-16, 20:59

    ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.

    • maeneo ya ukanda wa pwani ya kusini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi na Mtwara).
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 2026-06-15, 17:07