3°20'南 / 32°5'东 / 高度 1268 m / 22:23 2026-05-01, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
开始于: 2026-05-01, 21:00
到: 2026-05-02, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu, Mara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.