6°47'S / 38°59'E / Altitude 132 m / 17:36 2026/07/22, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
From: 2026/07/25, 21:00
To: 2026/07/26, 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya Bahari ya Hindi(mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na pwani(ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
From: 2026/07/25, 21:00
To: 2026/07/26, 20:59
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Disruption of some economic and marine activities. Be prepared.