6°49'S / 38°4'E / Altitude 289 m / 14:41 2026/03/07, Africa/Dar_es_Salaam (UTC+3)
From: 2026/03/06, 20:59
To: 2026/03/07, 20:59
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Lindi na Mtwara. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.