• Prihlásenie
  • Premium
  • myVentusky
  • O webe
  • Animácia vetra
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    New: Official Warnings from National Meteorological Institutes Warning

    Výstrahy - Taveta

    Svet / Keňa / Taita Taveta / Taveta

    3°23'J / 37°40'V / Výška 753 m / 05:24 21.03.2026, Africa/Nairobi (UTC+3)

    iné

    ANGALIZO: MVUA KUBWA

    Od: 20.03.2026, 21:01
    Do: 21.03.2026, 20:59

    ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi, Mtwara na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vyaUnguja na Pemba.

    UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI

    Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji.

    Zingatia na jiandae.

    • Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi, Mtwara na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vyaUnguja na Pemba.
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 20.03.2026, 16:48