• Login
  • Premium
  • myVentusky
  • Forecast
  • Wind Animation
    ECMWF, GFS, ICON, GEM
    App Now Offers Weather Forecasts Tailored to Your Outdoor Activities Forecast

    Warnings - Ukunda

    World / Kenya / Kwale / Ukunda

    4°16'S / 39°33'E / Altitude 35 m / 17:28 2026/07/22, Africa/Nairobi (UTC+3)

    other

    ANGALIZO: UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA

    From: 2026/07/25, 21:00
    To: 2026/07/26, 20:59

    ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya Bahari ya Hindi(mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na pwani(ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.

    • ukanda wote wa pwani ya Bahari ya Hindi(mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na pwani(ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba)
    • Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
    • [email protected]
    • 2026/07/22, 16:04